NISHAI,Andunje,Da Kiboga ,Mwajuma ndala ndefu na Majina mengi ambayo amejizolea kutokana na Uhusika anazofanya lakini zaidi anatambulika Kama Joti.

Ni miongoni mwa Waliong'ara Katika Kilele cha Tuzo za Ucheshi (TCA) Katika Kipengele cha Tuzo ya Mchekeshaji bora wa Mwaka ambazo ndio mara ya Kwanza zinafanyika nchini Tanzania na Afrika Kwa ujumla ambazo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Katika Ukumbi wa Superdom Jijini Dar es Salaam .

Mbali na Kukabidhiwa tuzo hiyo Joti amekabidhiwa mfano wa Hundi ya shilingi Milioni 5 Kama zawadi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...