MUIGIZAJI wa filamu za Bongo na Mchekeshaji Nanga au Babu Kaju ameng'ara Katika Tuzo za Ucheshi (TCA) zinazofanyika Usiku wa Leo Katika Ukumbi wa Superdom Masaki Jijini Dar es Salaam.

Nanga amenyakua tuzo katika kipengele cha Mchekeshaji Bora wa Kiume wa Mwaka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...