MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. NetumboNandi-Ndaitwah alipowasili chuoni hapo leo asubuhi ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kiserikali ya siku mbili nchini.

Rais Dkt. Nandi-Ndaitwah amefurahi kualikwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo na ameeleza kuwa atatumia fursa hiyo kuwahamasisha wanafunzi kushiriki katika fursa mbalimbali za kujenga nchi kizalendo na za uongozi.




Mhe. Rais Dkt. Nandi-Ndaitwah, akiwa kaongozana na mumewe Jenerali Epaphras Denga Naitwah,  alikutana na jirani yake huyo wa siku nyingi katika hafla ya chakula cha jioni alichoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...