MERIDIANBET inakukaribisha kwa ofa maalum ya kuanzisha akaunti yako kwa kishindo wewe uliyekua ukifikiria kujiunga na ulimwengu wa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni. Mara tu unapojisajili kwa mara ya kwanza na Meridianbet na kuweka salio la kuanzia TSH 1,000, utapokea bonasi ya 150% au hadi mizunguko 150 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium. Lakini pia unaweza pata vyote viwili, ikiwa utatimiza vigezo.
Kiasi unachoweka kwa mara ya kwanza ndicho kitakachoamua zawadi yako. Ukiweka kati ya TSH 1,000 hadi 4,999, utazawadiwa mizunguko 20 ya bure. Ukichangia TSH 5,000 hadi 14,999, utapata mizunguko 50 ya bure. Na ukiamua kuanza kwa nguvu zaidi kwa kuweka kati ya TSH 15,000 hadi 29,999, utazawadiwa mizunguko 100 ya bure. Wale wanaoweka zaidi ya TSH 30,000 pia wanapata mizunguko 100, bila kujali kiwango cha juu zaidi.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Hata hivyo, ili zawadi hizi ziwe halali, ni lazima uzungushe mara mbili ya kiasi ulichoanza nacho ndani ya siku sita tangu ulipojisajili. Ukikosa kufanya hivyo kwa wakati, utapoteza nafasi ya kushiriki kwenye promosheni. Ni muhimu kufahamu kuwa uzungushaji huu unahesabika kwenye michezo ya sloti pekee, si kwenye michezo kama Crash au Live Dealer.
Ushindi wowote unaopatikana kupitia mizunguko ya bure utahitaji kuchezwa tena mara 40 kwenye sloti hiyo hiyo ya Pia Premium kabla ya kuhamishiwa kwenye akaunti yako ya pesa halisi. Taarifa kuhusu kiasi kilichokomaa kwa ajili ya kuhamishwa utapokea moja kwa moja kupitia Meridianbet App. Lakini, ukijitoa kwenye promosheni kabla ya kutimiza masharti yote, mizunguko yote ya bure itafutwa na hautapata faida yoyote kutokana nayo.
Usikubali nafasi hii ipite! Jiunge leo na Meridianbet, weka salio lako kisha cheza michezo unayopenda, na ujinyakulie zawadi kubwa kama ukaribisho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...