MERIDIANBET mwezi huu wa 6 inaendelea na kukuletea promosheni kubwa za Kasino ambazo zitakufanya ujizolee zawadi kabambe ikiwemo Samsung A25. Usisubiri kuhadithiwa tazama vigezo na masharti unafike na promosheni hii.

Superheli ni mchezo mojawapo wa Kasino ambao unapatikana Meridianbet ambao una mandhari ya helikopta ambao ukiweka dau lako na kucheza mchezo huu unaweza kupata bonasi za bure pamoja na beti za bure.

Kupitia mchezo huu wa Superheli Meridianbet wameamua kukupatia fursa ya wewe kuondoka na Simu janja aina ya Samsung A25 mpya kabisa ndani ya mwezi huu wa 6 ambapo promsheni hii imeanza tarehe 1 na mwisho wake ni tarehe 30 mwezi huu.

Ili kujiunga na kushiriki kwenye promosheni hii lazima uwe mteja ambaye umejisajili na Meridianbet kwenye tovuti na kwenye program za simu ambapo utachagua wewe ucheza Superheli kwenye nini. Au kama hujajisajisajili bado unatakiwa kufanya mara moja ili uwe moja ya washiriki na washindi.

Tofauti na promosheni hii ya Superheli pia unaweza kupiga pesa kweye michezo mingine ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.

Huku promosheni ikiwa inaendelea basi wakali wa ubashiri wao wametenga siku ya Jumatatu kuwa ni siku ya kutoa zawadi mbili za simu kwa washindi ambao watakuwa wameshinda.

Je unajua ili ushinde simu hizo unatakiwa kufanyaje? Siri ni kucheza mara nyingi kadri uwezavyo ndivyo ambavyo unajiweka kwenye nafasi nzuri kabisa ya kuondoka na Samsung A25.

Cheza mara nyingi ujiweke kwenye nafasi nzuri ya kuibuka na maokoto kwenye promosheni hii. Ingia Meridianbet lakini pia unaweza ukabashiri mechi za ligi za wanawake zinazoendelea kwenye tovuti ya Meridianbet. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili na ubashiri hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...