.png)
MERIDIANBET, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, imezindua promosheni kabambe, yaani hii sio ya kuacha. Wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni sasa wana nafasi ya kipekee kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung Galaxy A25 kwa kucheza mchezo maarufu wa Super Heli.
Mchezo wa Super Heli unazidi kushika kasi na kuwavutia wengi kutokana na urahisi wa kucheza pamoja na msisimko wake wa kipekee. Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau lako, kisha kuendesha ndege inayopaa juu na kadri inavyopaa, ndivyo unavyozalisha faida. Siri ya ushindi ni kutoa dau lako kabla ndege haijaanguka. Ni rahisi, ni rahisi, lakini pia ni burudani tosha.
Lakini sasa Meridianbet wameongeza ladha zaidi kwa kuleta zawadi nono. Mbali na pesa taslimu unazoweza kujishindia kwa kucheza Super Heli, sasa una nafasi ya kuwa mmoja wa washindi wa simu mpya ya Samsung A25 bila gharama ya ziada. Hii ni njia ya kipekee ya kuongeza thamani kwa kila dau unaloweka.
NB; Super Heli si mchezo pekee unaopatikana Meridianbet. Kuna michezo mingi ya kasino mtandaoni pamoja na nafasi ya kubashiri mechi za kimataifa kwa odds bora zaidi nchini. Hii ni fursa nyingine ya kuongeza kipato chako kwa njia rahisi na ya uhakika. Jisajili sasa meridianbet na uanze safari ya ushindi.
Unasubiri nini? Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# kujisajili sasa. Fungua akaunti yako, weka dau, cheza Super Heli na uingie kwenye droo ya kushinda Samsung Galaxy A25.
Kumbuka, dau lolote linaweza kukufikisha kwenye ushindi, lakini dau kubwa linaweza kukupeleka mbali zaidi. Bahati ni yako sasa, cheza Super Heli na Meridianbet.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...