Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Wenye Ulemavu Ummy Nderiananga Juni 30,2025 amechukua fomu ya kugombea Ubunge Viti Maalum kundi la Wanawake Wenye Ulemavu.
Nderiananga amekabidhiwa fomu hiyo katika Ofisi ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Katibu UWT Mkoa wa Kilimanjaro Ndug. Jane Chatanda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...