KAMA wewe ni mmoja wa wale mashabiki wa soka wanaoweka beti huku moyo ukienda mbio hadi filimbi ya mwisho, basi Meridianbet imekusikia. Kuna habari mpya yenye ladha ya ushindi na burudani, huduma ya Early Payout imewasili rasmi, na ni kwa ajili yako unayetaka ushindi wa haraka na bila stress za dakika 90.
Hebu fikiria hali hii, umeweka beti kwa timu yako pendwa, wakaanza kwa kasi na kufunga mabao mawili ya haraka. Badala ya kung’ang’ania hadi mpira umalizike huku ukiomba tusishuhudie kipigo cha comeback cha dakika za jioni, sasa unapata ushindi wako papo hapo. Ndio, hiyo ndiyo maana ya Early Payout, bao la pili linatosha kukuingizia mkwanja.
Huduma hii imetengenezwa kwa ustadi mkubwa wa kiteknolojia, ikitoa nafasi ya ushindi mapema kwa mchezaji yeyote aliyebashiri kwa ufasaha. Ni huduma ya kipekee ambayo hadi sasa inapatikana kwenye soka tu, hususan kwenye ligi kubwa kama Premier League ya Uingereza, La Liga ya Hispania, Serie A ya Italia na Bundesliga ya Ujerumani. Lakini usihofu, Meridianbet tayari wako mbioni kupanua huduma hii hadi kwenye mpira wa kikapu, tenisi na hata ice hockey.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kinachovutia zaidi ni urahisi wa kuitumia. Mechi zilizo na huduma ya Early Payout huoneshwa na alama ya kijani, hivyo huwezi kuikosa. Alama hiyo inaonekana kwenye orodha ya matukio, tiketi yako, bet slip, mpaka kwenye sehemu ya “my bets”. Ukiiona, jua hii ndio nafasi yako ya kuibuka kidedea mapema kabisa.
Na bado, unaweza kuichanganya mechi ya Early payout na beti zako nyingine, iwe ni single au kombinesheni na bado ukaendelea kufurahia bonus zako kama kawaida. Ingawa odds za Early Payout ni ndogo kidogo kuliko zile za matokeo ya mwisho kwa mkeka wa kawaida, ni kwa sababu tayari umeshapata ushindi bila kusubiri dakika 90. Hatari ni ndogo, ushindi ni wa haraka, ni win-win situation kwa mchezaji wa kisasa kama wewe.
Kumbuka, huduma hii haipo kwenye mechi za live kwa sasa, lakini unaweza kutumia cash out kama mbadala. Kwa mchezaji anayeangalia kila hatua ya timu yake na kuelewa flow ya mchezo, hii ni zana ya kuongeza ushindi na kuondoa stress zisizo na sababu.
Kwa hiyo, kama uko tayari kufurahia soka kwa mtindo mpya, tembelea meridianbet.co.tz au fungua app yao sasa. Tafuta mechi zenye alama ya kijani ya Early Payout, weka beti yako, na angalia bao la pili likikuletea noti zako moja kwa moja. Meridianbet hawakosi cha kukupa, burudani, ushindi, na sasa ushindi wa mapema pia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...