NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV

MSHAMBULIAJI wa timu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ureno Diego Jota amefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea Zamora nchini Hispania

Taarifa za kifo cha Mchezaji huyo ambaye alikuwa na umri wa miaka 28 zimeripotiwa na vyombo vyza habari vya nchini Ureno pamoja na Hispania

Diogo Jota ameisaidia timu yake ya Liverpool kutwaa kombe la Ligi kuu Uingereza pamoja na kuisaidia timu yake ya taifga kubeba kombe la Ulaya mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...