MERIDIANBET, mabingwa wa ubashiri Tanzania, wamezindua promosheni mpya inayowapa wachezaji wake fursa ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kwa kucheza tu mchezo maarufu wa Aviator.
Hii si promosheni ya kawaida, ni nafasi ya kipekee ambapo kila unavyocheza Aviator si tu unaongeza pesa zako, bali pia unajipeleka karibu na ushindi wa simu ya kisasa bure kabisa.
Kwa wale ambao bado hawajaonja msisimko wa Aviator, huu ni mchezo unaokupa nafasi ya kuona dau lako likikua kila sekunde ndege inavyopaa juu. Lakini kumbuka, ushindi uko mikononi mwako, toa dau lako kabla ndege haijalipuka na chukua ushindi wako papo hapo.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Sasa Meridianbet wameongeza ladha zaidi, kucheza Aviator kunakupa nafasi ya kujishindia simu mbili mpya kila wiki. Ndio, kila Jumatatu, washindi wawili watajinyakulia simu za Samsung A25 kwa kushiriki kikamilifu kwenye mchezo huu maarufu na kufuata masharti.
Promosheni hii imeanza 01 Julai 2025 hadi 31 Julai 2025, na inapatikana kwa wateja wote waliopo au watakaojisajili kwenye meridianbet.co.tz au kupitia app ya Meridianbet.
Kwa kujiunga, unathibitisha kuwa unakubaliana na vigezo na masharti ya promosheni. Meridianbet pia wana haki ya kufanya mabadiliko yoyote kwenye promosheni hii au kuisitisha iwapo kutahitajika kufanya hivyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...