NI Jumamosi nyingine tena ya kuhakikisha huondoki patupu na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo kuna mtanange mkali kabisa wa Robo Fainali kati ya Real Madrid vs Borussia Dortmund majira ya saa 5:00 usiku.

Tengeneza pesa mechi hii ndani ya Meridianbet kwa kubashiri na GG&3+ huku ukiongeza na mechi zako nyingine nyingi uweze kujishindia bonasi ya uhakika hapa. Je nani kutenga Nusu Fainali leo?.

Real chini ya kocha mpya Xabi Alonso wanahitaji kushinda mtanange huu wa leo ikiwezekana wachukue kabisa kombe hili. Matumaini yapo kwa Madrid kwani mchezaji wao tegemezi Kylian Mbappe pia amerejea uwanjani baada ya kupata majeraha.

Dortmund nao chini ya kocha mkuu Niko Kovac baada ya kukosa vikombe kwenye ligi yao kule Ujerumani pia wanahitaji ushindi leo na kombe hili pia wanahitaji. Timu zote zinataka kushinda mechi hii hivyo ni mechi ambayo itakuwa na ushindani mkubwa sana.

Ukibashiri na GG&3+ unajiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kushinda zaidi ya mara mbili ya kile ambacho ulikuwa unakitarajia. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo. Unasubiri nini sasa?. Jisajili sasa.

Michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupatia mkwanja leo, Cheza Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz


SHERIA ZA PROMOSHENI HII
● Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee

● Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 05 mwezi Julai 2025 hadi saa 5:00 usiku ambapo mechi itaanza

● Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Real Madrid vs Borussia Dortmund kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,


Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Real Madrid vs Borussia Dortmund kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).

Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Real Madrid vs Borussia Dortmund lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.

BONASI YA 2
Kama mchezo wa Real Madrid vs Borussia Dortmund ukimalizika 0-0

● Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.

● Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...