Ukitembelea Banda la UDOM utapata huduma ya afya bure, msaada wa kisheria bure, kujua miradi inayotekelezwa UDOM, tafiti mbalimbali, watoto kujifunza Uchoraji na huduma nyinginezo.Watumishi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwahudumia wananchi mbalimbali waliotembea banda la chuo hicho katika katika viwanja vya Saba Saba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MASSAKA,MMG )


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...