Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt.Fidelice Mafumiko akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.




 Baadhi ya Matukio wakati wa Mkutano wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali na Wahariri.


*Yakusanya mapato ya zaidi ya Bilioni 36

Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GSLA) imesema kuwa kwa mwaka 2023 hadi 2025 wamekusanya zaidi ya Bilioni 36 ambapi makusanyo hayo inatokana Serikali ya awamu ya Sita ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwekeza kwenye maabara ya Taasisi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa Wahariri na Waandishi wa Habari katika vikao vinavyiratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina ,Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt.Fidelice Mafumiko amesema makusanyo hayo yanatokana na uelewa wa wadau kuhusiana na kupata huduma katika ofisi hiyo.

Amesema katika mapato waliyoyapata wamefikia lengo la asilimia 92 waliojipangia katika kipindi hicho.

Dkt.Mafumiko amesema ongezeko hili ni kutokana na ushirikiano na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,yamejikita Mwaka Fedha 2021/2022 hadi kufikia sampuli 188,362 kwa mwaka wa Fedha 2023/2024, sawa na ongezeko laasilimia 21. Katika kipindi cha mwaka wa Fedha huu.

Dkt.Mafumiko amesema Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ni mojawapo ya taasisi za Serikali Majukumu ya msingi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali yamebainishwa usalama na ubora wake ,uchunguzi wa sampuli/vielelezo vyenyemaslahi ya Kitaifa kwa ajili ya Kulinda Afya, Mazingirana usalama wa nchi.

Amesema Mamlaka ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Sheria

katika mazingira zikiwemo sampuli za uchafuzi wa hewa, maji, na afya za wananchi,Usimamizi na Udhibiti wa Kemikali za Viwandani na Majumbani uchunguzi zitolewazo na Mamlaka.

Amesema Sura Na. 182. Sheria hiyo inatoa nguvu ya kisheria kwa Mamlaka kufanya ukaguzi na kusajili

unaoweza kusababisha kemikali hizo kutumika kutengeneza dawa za kulevya au kutumika katika Huduma za uchunguzi wa Kimaabara, Utoaji wa Ushahidi wa Kitaalam, na Usimamizi ,Ongezeko la sampuli zinazochunguzwa na Mkemia Mkuu wa Serikali linatokana na taasisi za serikali za udhibiti kama vile Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa wa 2024/2025, kuanzia mwezi Julai hadi Mei 2025,sampuli 175,561zilifanyiwa Kisayansi wa kimaabara kwa sampuli/vielelezo umeongezeka kutoka sampuli 155,817 kama silaha za maangamizi.

Hata hivyo amesema madhumuni yaliyokusudiwa ikiwa ni pamoja na kuzuia uchepushaji wa baadhi ya kemikali wadau wote wanaojishughulisha na shughuli za kemikali zikiwemo kemikali hatarishi ,Udhibiti wa Kemikali za Viwandani na Majumbani, ujenzi wa miundombinu wezeshi ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

Mafanikio ya Mamlaka kwa kipindi cha miaka minne cha awamu ya sita chini ya Uongozi wa

Usimamizi na Udhibiti wa kemikali chini ya Sheria ya Kemikali za Viwandani na Majumbani, Afya ya binadamu na mazingira.

Lengo la kusajili na kukagua ni kuhakikisha kuwa, kemikali hizo zinatumika kwa kuzingatia usalama kwa afya za watu na mazingira na pia kwa ofisi na maabara, uimarishaji wa matumizi ya TEHAMA katika utoaji na mafunzo kwa wadau.

Dkt.Mafumiko amesema katika uuimarisha Huduma za Uchunguzi wa Kimaabara uchunguzi sawa na asilimia 92 ya lengo la kuchunguza sampuli 191,420.

Amesema ufanisi katika utoaji wa huduma za Uchunguzi wa kimaabara kuongezekakwa uelewa wa wananchi na wadau wa Mamlakana ubora wa huduma za Katika kipindi cha miaka minne cha Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Sukuhu Hassan Mkemia Mkuu Dkt.Mafumiko amesema kuwa katika kufanya kazi wanashiriakina na Mamlaka ya Kupambana na Kudhiti Dawa za Kulenya (DCEA),Jeshi la Polisi na Mamlaka ya Mapato (TRA), wadau wa afya.

Amesema wanafanya utambuzi wa miili ya Wahanga iliyoharibika vibaya kutokana na majanga ,Utambuzi wa sumu kabla ya kifo kutokea kwa kubainisha Uchunguzi wa kisayansi wa kimaabara umekuwa na mchango mkubwa katika kusaidia utambuzi wa jinsi tawala, Kufanya uchunguzi wa kisayansi wa kimaabara sumu ili kupata tiba sahihi na kwa wakati, sumu iliyosababisha kifo kwa waathirika,Kusafishwa figo,kufanya uchunguzi wa sampuli za maji tiba

kuchangia katika mnyororo wa Haki Jinai na hivyo kuwezesha utoaji wa haki stahiki Usimamizi wa Mazingira(NEMC)na wadau wengine wanaotumia huduma za Mamlaka.

Amesema wagonjwa wanaodhaniwa kuvuta, kunywa au kula chakula chenye jamii na mazingira inalindwa kwa wagonjwa wenye changamoto ya jinsi, utambuzi wa sumu baada ya kifo kutokea kwa kubanisha katika vyombo vya maamuzi kwa mhusika na kwa wakati wa Kupandikizwa figo kwa kufanya uchunguzi wa kimaabara kubainisha Mchango wa utoaji wa matokeo ya Uchunguzi wa Sampuli kwa wakati dawa asili),mazingira, usalama mahala pa kazi kwa lengo la kuhakikisha afya yanayotumika kwa wagonjwa wanaohitaji kusafisha figo,kutoa ushauri stahiki kwa Madaktari Bingwakwa lengo la kutoa matibabu mbalimbali ikiwemo ajali za majini, magari, kuangukiwa na majengo, moto, ndege.

Hata hivyo amesema Uwekezaji katika mitambo na vifaa vya kisasa vya uchunguzi kimaabara imefanikiwa kuendelea ya Kisheria na mifumo ya Ubora katika ngazi ya kitaifa na kimataifa viwango vya kitaifa na Kimataifa. Kukubalika huko kwa matokeo ya uchunguzi ya Chakula.

Amesema mwaka 2024/2025 GSLA imeongeza mitambo mikubwa 16 na midogo 274 katika Utoaji wa Huduma za Kimaabara katika Viwango vya Kimataifa
 utoa huduma za Uchunguzi wa Kimaabara na matokeo yake kukubalika na umeongezeka kwa shughuli za Mamlaka uliyohuishwa kwa mara nne mfululizo na mfumo wa IthibatiKatika kipindi cha miaka mine cha Serikali ya awamu ya sitapekee, Mamlaka imefanikiwa Katika kipindi cha Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya ssilimia 23.6, kutoka Shilingi Bilioni 13.6kwa mwaka wa fedha 2017/2018 na Mamlaka kutekeleza mifumo miwili ya ubora na umahiri ya kimataifa, 2021/2022 hadi kufikia thamani ya jumla ya Bilioni 17.8 kwa mwaka wa Fedha.

Mamlaka imepata ithibati katika Umahiri wa uchunguzi wa kimaabara (ISO 17025:2027) kwenye maabara zake sita ambazo ni Maabara ya Vinasaba vya Binadamu, Mikrobiologia, ambayo ni Ithibati ya Mifumo ya Usimamizi wa Ubora(ISO 9001:2015) ya uendeshaji wa
ya kisasa kwa ajili ya kuendelea kuboresha huduma za uchunguzi.

Mamlaka imeweza kudhibiti uingizaji na usafirishaji wa kemikali hatarishi na zile
usalama wa nchi kwa kutoa vibali vya kuingiza na kusafirisha kemikali hizo. Katika kipindi Mamlaka hufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwenye maghala yanayohifadhi kemikali na asilimia 119 ya lengo la kukagua maghala 7,160, Kemikali zinazoingizwa nchini ni zile ambazo zinaruhusiwa kisheria kuingia nchini, zinazodhibitiwa chini ya mikataba ya kimataifa ili kulinda afya ya binadamu, mazingira na Serikali ya awamu ya sita kumekuwa na ukuaji wa biashara kwa wadau wanaojihusisha.

Mamlaka imeendelea kufanya maboresho ya kuharakisha mchakato wa usajili wa Utoaji wa Vibali vya Kuingiza au Kusafirisha Kemikali 2,125Mwaka 2021 hadi Wadau3835kufikia Juni, 2025sawa na ongezeko la asilimia 81

cha miaka minne (4)cha Serikali ya awamu ya sita (6), kumekuwa na ongezeko la vibali Katika kuhakikisha kuwa kemikali zinatumika kwa usalama na kwa kufuata taratibu zote kampuni zinazojihusisha na biashara ya kemikali. Katika kipindi cha miaka minne ya Mamlaka imefanya ukaguzi wa maghala 8,521ya kuhifadhia kemikali, Uingizaji wa kemikali kutoka vibali 40,270 kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 hadi maghala na maeneo ambapo kemikali zinatumika,ukaguzi wa maeneo ya mipaka ambapo na biashara ya kemikali, ambapo wadau waliosajiliwa wameongezeka kutoka Wadau.

Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Kemikali za Viwandani na Majumbani, Sheria Na. 3 Vibali 67,200 kufikia kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 sawa na ongezeko la asilimia mazuri ya biashara na uwekezaji yaliyowekwa na Serikali ya awamu ya sita, Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imefanikiwa kujenga maabara ya uchunguzi wa Vinasaba tatu (3) zinafanya kazi baada ya ununuzi na usimikaji wa mitambo ya uchunguzi.

Biashara ya kemikali kumekuwa na ongezeko kubwa la wadau wanaotimiza matakwa ya kutumia jengo lake Makao Makuu ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Mtwara, Lindi ,Ruvuma.

Aidha, Mamlaka imekamilisha kupitia mpango wa elimu kwa umma unaotekelezwa na Mamlaka kwa wadau wa
Mutukula,Holili na Namanga juhudi hizo zinalenga kuweka mazingira mazuri ya kufanyia kazi Katika kipindi cha miaka minne, Mamlaka imefanikiwa utoaji matokeo ya uchunguzi kwa wakati ikiwemo nunuzi wa Mitambo Katika kipindi cha miaka Serikali ya Sita, Mamlaka umechangia kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali, jumla ya Shilingi 3,999,375,100.00kupitia katika kipindi cha miaka minne (2021–2025). 

Mamlaka imepata Hati Safi mfululizo (2021/2022 hadi 2024/2025) za ukaguzi wa Hesabu.


Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...