RAIS  Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Bw. Ngusa Samike, aliyekuwa Katibu wa Rais wa Awamu ya Tano Marehemu Dkt John Pombe Magufuli aliyefika kumjulia hali ofisini kwake Masaki jijini Dar es salaam Jumatatu Julai 14, 2025.

Bw Samike alikuwa Katibu wa Dkt Magufuli toka marehemu alipokuwa Waziri. Pia amewahi kuwa RAS wa jiji la Mwanza, hivi sasa anajishughulisha na kilimo na ufugaji kwao Sengerema.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...