MECHI kibao za mtoani wa Carabao Cup Uingereza (EFL) hatua ya mtoano zinaendelea huku wewe mteja wa Meridianbet ukiwa na nafasi ya kuibuka na mkwanja wa maana. Je pesa yako unaiweka kwa nani na nani wakupe ushindi leo?

Unaweza ukabashiri mechi hii ya Reading FC dhidi ya AFC Wimbledon ambao hawa waote wanacheza ligi daraja la tatu Uingereza yaani League one. Mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi ambapo ODDS za mechi hii ni 2.23 kwa 3.30. Bashiri hapa sasa.

Pia mechi nyingine ni hii ya Wolverhampton vs West Ham United ambapo hawa wote wanakipiga ligi kuu ya Uingereza yaani EPL. Hizi ni timu za daraja la kati huku kwenye mechi mbili walizocheza za ligi, wamepoteza zote huku waote pia wakiwa chini kabisa kwenye msimamo wa ligi. Beti yako unaiweka wapi hapa kati ya ODDS 2.25 kwa 3.05.

Huku Sunderland AFC wao watakuwa kibaruani dhidi ya Huddersfield Town ambao walishuka kutoka ligi daraja la kwanza mpaka ligi daraja la tatu. Mwenyeji yeye anakipiga ligi kuu ya Uingereza mpaka sasa akiwa ameshinda mechi moja kati ya mbili alizocheza. 1.51 kwa 6.00. Wewe beti yako unaiweka wapi?. Jisajili hapa.

Jumanne ya leo piga pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Pia mechi nyingine kali ni hii ya Millwall FC dhidi ya Coventry City ambapo mtanange wa mwisho kukutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Je leo hii nani kuibuka mbabe kwenye michuano hii ya EFL kule Uingereza?. Tandika jamvi hili lenye ODDS 2.90 kwa 2.44.

Halikadhalika AFC Bournemouth atamenyana dhidi ya Brentford huku wote wakiwa wakipiga kule Uingereza. Mechi zote za msimu uliopita walipokutana, Nyuki waliondoka na ushindi. Je leo hii jamvi lako unaliweka wapi kwenye mechi hizi mbili?. Mechi hii ina ODDS 1.78 kwa 4.10 lakini pia machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Burton Albion atamleta kwake Lincoln City ambao hawa wote wanakipiga League one kule Uingereza. Mwenyeji kushinda mechi hii ya leo amepewa ODDS 3.10 kwa 2.27. Msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana kila mtu alishinda mechi moja. Leo nani unampa pesa yako akupe ushindi?. Beti hapa

Kwa upande wa Derby Country wao watasafiri kumenyana dhidi ya Burnley ambao wamepanda ligi kuu msimu huu. Meridianbet wao wanampendelea mwenyeji kuondoka na pointi tatu siku ya leo wakimpatia ODDS 1.40 kwa 7.60. Suka jamvi mechi hii sasa.

Norwich City atakuwa uso kwa uso dhidi ya Southampton ambapo hawa waote wanakipiga Championship. 2.85 kwa 2.37 ndio ODDS za mechi hii, hivyo ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubashiri mechi hii. Ikumbukwe kuwa ni sare iliyopatikana mara ya mwisho kukutana.

Pia Leeds United watakuwa ugenini kusaka nafasi ya kuendelea hatua inayofuata kwenye michuano ya Carabao Cup dhidi ya Sheffield Wednesday ambao hawapewi nafasi ya kuondoka na pointi 3 leo hii wakiwa na ODDS 14 kwa 1.18. Jisajili hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...