WIKENDI ya kibabe imefika sasa na Meridianbet tayari wameshakupatia Odds za kibabe za kuondoka nazo Jumamosi ya leo. Villa, Barca, City wote hao wpao tayari kuhakikisha hubaki patupu. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi sasa.
Meridianbet wameanza kumulika mechi za ligi kuu ya Uingereza yaani EPL ambapo mapema kabisa leo hii Aston Villa atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe. Mara ya mwisho kukutana Villa aliondoka na ushindi lakini waligawana pointi msimu uliopita mechi mbili. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet amepewa mwenyeji kwa ODDS 2.30 kwa 3.30. Bashiri sasa.
Mechi nyingine ni hii ya Brighton dhidi ya Fulham ambao hawapewi nafasi ya kuondoka na ushindi leo wakiwa na ODDS 3.70 kwa 2.00. Vijana wa Fabian Hurzeler wanataka kuanza na ushindi mnono wakiwa nyumbani kwao mbele ya mashabiki zao. Je nani kuanza msimu na pointi 3?. Jisajili hapa.
Nao Tottenham Spurs baada ya kukosa taji la Uefa Super Cup sasa watarejea kwenye ligi kupepetana dhidi ya Burnley ambao wamepanda ligi kuu msimu huu. Ikumbukwe kuwa msimu uliopita ulikuwa mbaya kwa klabu hii licha ya kuchukua kombe la Europa. Pia wana kocha mpya ambaye ni Thomas Frank. ODDS za mechi hii ni 1.45 kwa 7.20. Tandika jamvi hapa.
Pesa ya uhakika ipo hapa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Kwa upande wa Manchester City wao watakuwa ugenini leo kuanza safari ya kutetea taji lao dhidi ya Wolves ambao msimu uliopita walimaliza nafasi ya 16. Pep Guardiola amefanya usajili wa wachezaji ambao anaamini watamletea ubingwa akiwemo Cherki, Tijjani, Marmoush na wengine. Je Mbwa Mwitu watawzuia City kushinda?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 6.60 kwa 1.47.
Kule LALIGA sasa napo mbilinge mbilinge ni nyingi sana leo baada ya jana kushuhudia mechi kali, bingwa mtetezi wa ligi FC Barcelona atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya RCD Mallorca moja ya timu ambazo ni ngumu sana kule Hispania. Hans Flick na vijana wake wamejiandaa kwa ushindi wakipewa ODDS 1.39 kwa 7.60. Suka mkeka hapa.
Deportivo Alaves atakuwa uso kwa uso dhidi ya Levante UD ambao wamepanda ligi kuu msimu huu. Hii ni vita kali sana katika dimba la Mendizorroza. Kila timu inataka kuanza vyema ligi. Je pesa yako unaiweka kwa nani leo aondoke na ushindi?. 2.20 kwa 3.80 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Mechi ya mwisho kule Hispania ni hii ya Valencia CF dhidi ya Real Sociedad ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 3.10 kwa 2.60. Mechi ya mwisho kukutana Sociedad alipigika. Je leo hii mwenyeji ataendeleza ushindi au mgeni kulipa kisasi?. Bashiri hapa.
Ufaransa napo LIGUE 1 nayo itaendelea kwa mechi kadhaa ambapo RC Lens ataumana vikali dhidi ya Olympique Lyon ambao kushinda ugenini leo wana ODDS 2.95 kwa 2.35. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je beti yako unaiweka wapi leo?. Tandika jamvi hapa.
Huku majira ya saa 2:0 usiku timu ya Mbwana Samatta na timu yake ya Le Havre watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya AS Monaco ya kina Paul Pogba. Meridinabet wameipa mechi hii ODDS 1.30 kwa 10. Wewe unampa nani nafasi ya kuondoka na ushindi leo?. Jisajili hapa.
ODDS za kibabe zipo kwenye mechi ya OGC Nice dhidi ya Toulouse huku takwimu zikionesha kuwa hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Meridianbet wanampa mwenyeji nafasi ya kushinda leo, lakini pia mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000 leo. Suka jamvi lako hapa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...