Maelfu ya wananchi wa Ikungi Mashariki katika eneo la Puma wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwa ajili ya kumpokea, kusikiliza,kueleza kero na changamoto zao kwa Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi kabla ya kuzungumza nao katika mkutano mkubwa wa hadhara,ikiwa leo ni hitimisho la ziara yake ya siku tano Mkoani Singida.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.jpeg)

.jpeg)

.jpeg)

.jpeg)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...