
MERIDIANBET inakukaribisha kusuka jamvi la ushindi siku ya leo kwani timu kibao zipo uwanjani kuhakikisha kubaki patupu. Chaguo timu zako za ushindi siku ya leo na ubeti hapa.
LALIGA itarindima kule Hispania ambapo Real Oviedo atakipiga dhidi ya Real Betis ambapo mpaka sasa wapo nafasi ya 6 huku wenyeji woa wakiwa wapo nafasi ya mwisho wakishinda mechi mbili pekee. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii pale Meridianbet. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ya pesa ni hii ya Girona vs Osasuna ambapo mechi ya mwisho kukutana kati yao ilikuwa ni mgeni aliondoka na ushindi, hivyo hii ni mechi ambayo mwenyeji anataka kulipa kisasi. Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote mbili leo. Lakini beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Jisajili hapa.
Bashiri mechi ya Valencia dhidi ya Elche ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 9, huku wenyeji wao wakiwa na hali mbaya kwenye msimamo wa ligi yaani nafasi ya 18 hadi sasa baada ya kushinda mechi 3 pekee. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi mechi zote mbili mwenyeji aliondoka na pointi 4. Je mgeni atalipa kisasi siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.
Mzigo mkubwa upo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Vilevile kule Ujerumani BUNDESLIGA pia kuna mechi za pesa ambapo S.T Pauli atamkaribisha kwake RB Leipzig ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 16. Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi lako hapa.
Union Berlin yeye atakuwa kibaruani kukipiga dhidi ya Mainz 05 ambao mechi yao iliyopita ya ligi walitoa suluhu huku wenyeji wao waliondoka na ushindi kwenye mechi yao ya mwisho. Leo hii kila timu inahitaji ushindi ili isogee kwenye nafasi ya juu. Meridianbet inakwambia kuwa bashiri hapa.
Na mechi kali itakuwa pale majira ya saa 2:30 ambapo Bayer Levrkusen atamenyana dhidi ya VFB Stuttgart ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mwenyeji aliondoka na ushindi baada ya kutokea nyuma. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya msimu uliopita kuambualia pointi 1 kwenye zile 6. Wewe nani unamdhamini akupe ushindi?. Jisajili hapa.
Italia kule SERIE A pia inatarajiwa kuendelea ambapo Como 1907 atamleta kwake Bologna ambao wapo nafasi ya 7 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Tofauti ya pointi kati yao ni 7 hadi sasa. Hii ni moja ya mechi ambayo ni mgumu sana kwani vijana wa Fabregas wanahitaji ushindi huu. Beti hapa.
Atalanta atakipiga dhidi ya Torino ambao wapo nafasi ya 10 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8 kwenye msimamo huku tofauti ya pointi kati ya ni 2 pekee. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na ushindi mnono. Je leo hii nani kushinda?. Bashiri.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...