Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb.) kulia, akipokea  taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania-TADB, ya kipindi cha miaka 10 tangu ianzishwe mwaka 2015-2025, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Frank Nyabundege,  katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Squire, jijini Dodoma.

(Picha na KItengo cha Mawasiliano Serikalini-WF-Dodoma)


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...