KLABU ya Manchester United imeendelea kufanya vyema chini ya kocha mkuu Michael Carrick baada ya kuendeleza ushindi kwenye mechi zao za hivi karibu. Ushindi dhidi ya Aston Villa umewaweka kwenye nafasi nzuri sana. Je watamaliza nafasi ya ngapi msimu huu?

Leo hii pale katika dimba la Vitality kutajaa shauku kubwa kwani tutaenda kushuhudia mtanange wa kukata na shoka wa EPL kati ya AFC Bournemouth dhidi ya Manchester United chini ya Carrick ambao wanaendelea kufanya vyema kabisa.

Mashabiki wa pande zote mbili watakuwa wamejawa na furaha kushuhudia timu zao zikifuana vikali kuwania pointi 3 muhimu kabisa kwenye ligi, lakini kwa upande wa wachezaji huu ni moja ya mchezo muhimu sana kwao kwani unaweza ukaamua mustakabali wao kwenye kupanda nafasi za juu zaidi.

Wenyeji chini ya kocha Scort Parker ni waumini wa mfumo wa 4-2-3-1 ambapo kwenye mechi zao 5 za mwisho wametumia mfumo huo, lakini mbaya zaidi mechi 4 za mwisho wametoa sare hivyo ushindi ni muhimu sana kwenye mechi hii ya leo.

Kwa upande wa Manchester United wao pia wanapenda kutumia mfumu huo huo wa 4-2-3-1, yaani kiufupi zinakutana timu ambazo zinapenda kutumia mfumo mmoja. Lakini kwa upande wa Mashetani Wekundu wapo kwenye ubora wao kwani mpaka sasa wameshinda mechi 4 mfululizo kwenye ligi na kusogea nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi.

Leo hii unaweza kutengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Timu hizi pia zina wachezaji ambao wana ubora na wa kuchungwa zaidi ambapo kwa upande wa United Bruno ameendelea kuthibitisha ubora wake, lakini pia Bryan Mbeumo, Sesko, Cunha na wengine ambao wamekuwa ni chachu ya kuipa United Ushindi.

Kule Bournemouth wao yupo Evanilson ambaye amekuwa na kiwango bora kabisa, lakini pia yupo Tavernier, Rayan na wengine kama kina Adili ambao kwa pamoja wanafanya klabu hii kuwa tishio hasa ikikutana na timu kubwa wakiwa nyumbani.

Mechi hii inatarajiwa kuwa ya mvutano wa kiufundi na kimkakati. Bournemouth hawataogopa kushambulia bila woga,. United, kwa upande mwingine, wanahitaji kudumisha nidhamu na kutumia uwezo wao wa kushambulia mara moja kwa mstari mmoja, wakiamini kuwa ufahamu wa mashindano makubwa unaweza kuleta tofauti.

Je nani kuondoka na pointi tatu siku ya leo?. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi kwenye mechi hii ndani ya Meridianbet kwani safari ya ushindi inaanzia hapa.

Pia kule Italia, SERIE A kuna mechi kadhaa lakini hebu tujikite kwenye mechi ya Cagliari dhidi ya Napoli chini ya Antonio Conte huku mashabiki wa Cagliari wakijipanga kwa hamu kuona timu yao ikikabiliana na Napoli, bingwa mtetezi wa Serie A.

Cagliari, walioko kwenye nafasi ya 15 kwenye msimamo wa Serie A, wanahitaji kila pointi inayowezekana ili kudumisha nafasi zao na kuepuka shinikizo la kushuka daraja.

Wakiwa nyumbani, kikosi cha Fabio Pisacane wanahitaji ushindi kwenye mechi hii kwani kwenye mechi 6 za mwisho wamepoteza michezo minne na kupata sare mara mbili pekee, kitu ambacho kimewafanya wazidi kubakia kwenye nafasi za chini.

Kwa upande wa vijana wa Antonio Conte hadi sasa wao wapo nafasi ya 3 kwenye ligi wakiwa nyuma pointi 9 na kinara wa ligi Inter. Ushindi huu utaenda kuwahakikishia nafasi ya 2, huku uwezo huu wakiw anao kabisa kutokana na kikosi cha wachezaji wenye ubora wakiwemo.

Conte ana jeshi kubwa kabisa la kufanya wapate ushindi akiwemo McTominay, De Bruyne, Hojlund, Anguissa na wengine ambao kwa pamoja wanasaidiana natimu kuhakikisha hawashuki nafasi 4 za juu kwenye lgi.

Mechi hizi si za kwanza kwa timu hizi kukutana. Historia inaonyesha Napoli mara nyingi amekuwa mshindi wanapokutana, kwani hata mechi ya kwanza kwenye ligi walipokutana, Napoli waliondoka na ushindi. Hivyo hii ni nafasi ya wenyeji kulipa kisasi kwa kupata ushindi wakiwa nyumbani kwao. Je Conte atakubali?. Tusua kijanja na wakali wa ubashiri Meridianbet, kwani Odds kubwa zinakungoja sasa.

Je wenyeji leo hii wanaweza kukataa utumwa wao mbele ya bingwa mtetezi na kuibuka na pointi 3 siku ya leo?. Nafasi ya kushinda unayo leo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...