Rais w a Jamhuri y a Muungano w a Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo
amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Katibu Mkuu w a Jumuiya y a Madola, Bi. Shirley Ayorkor Botchwey, uliowasilishwa kwake n a Mjumbe Maalum, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Malawi, Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Ujumbe huo pia umeainisha maeneo y a kipaumbele yanayofuatiliwa n a Jumuiya y a Madola, ikijumuisha uwazi n a ushirikiano katika tathmini ya matukio yaliyojitokeza wakati na baada y a Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, pamoja n a kupanua ushiriki wa kisiasa, kuendeleza majadiliano y a vyama n a kuimarisha uwajibikaji w a taasisi.
Katika ujumbe wake, Katibu Mkuu Botchwey amesisitiza dhamira ya Jumuiya ya Madola kuendelea kushirikiana n a Tanzania katika kuimarisha misingi y a demokrasia, utawala bora n a maridhiano y a kitaifa kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati n a baada y aUchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025.
Ameeleza kuwa Jumuiya y a Madola inaunga mkono juhudi zinazoendelea nchini na iko tayari kusaidia kujenga mazingira y a kisiasa yenye utulivu, ushirikishwaji n a kuaminiana kupitia mazungumzo na mageuzi ya taasisi.
Akizungumza wakati wa kupokea ujumbe huo, Rais Dkt. Samia amesema Tanzania
inaendelea kushughulikia hali hiyo kupitia taasisi zake, akizitaja hatua mbalimbali
zilizochukuliwa n a Serikali, ikiwemo kuunda Tume Huru ya Uchunguzi, kwa lengo la
kurejesha utulivu, na kuimarisha uwajibikaji nchini.
Amebainisha kuwa matokeo ya Tume hiyo yataongoza hatua zinazofuata, ikiwemo
uwajibikaji, maridhiano na mageuzi y a taasisi, huku Serikali ikiendelea kusimamia
mchakato wa maridhiano ikiwemo majadiliano kupitia majukwaa yaliyopo kisheria na ushirikishwaji wa wadau mbalimbali.
Kwa upande wake, Mhe. Chakwera ameeleza utayari wa Jumuiya ya Madola kuendelea kushirikiana n a Tanzania katika juhudi za kuimarisha utawala w a sheria, ushirikiano wa kisiasa na mshikamano w a kitaifa.
Rais Mstaafu Chakwera amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini kama Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola kwa lengo la kufanya tathmini ya hali ya kisiasa na mchakato w a maridhiano, ambapo tayari amekwishakutana n a wadau mbalimbali wa kisiasa na kitaasisi nchini.

.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...