Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika dhifa maalum ya chakula iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Ruto katika Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam leo tarehe 04 Mei 2026.

Rais William Ruto yupo nchini kwa ziara maalum ya siku mbili kuanzia tarehe 04 hadi 05 Mei 2026, ambapo pamoja na shughuli nyingine, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo kesho, tarehe 05 Mei 2026, Jijini Dodoma.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...