Mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga Salehe Mbwana Mhando akiendelea kuwafikia Wananchi wa maeneo mbalimbali moja kwa moja hivi karibuni, pichani (mwenye koti) Mhe.Salehe akiwa katika kata ya Mkindi ndani ya jimbo hilo akijumuika na Wananchi kwa mazungumzo ikiwemo kusikiliza changamoto zao na kuzitafutia ufumbuzi.










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...