HATIMAYE baada ya muda mrefu, usiku wa Ulaya umerejea ambapo wababe kibao watashuka dimbani kupepetana kuwania pointi 3. Je nani unampa nafasi ya ushindi siku ya leo?
Vijana wa Mikel Arteta Arsenal baada ya kupata ushindi kwenye mechi yao ya ligi, sasa watashuka dimbani kumenyana dhidi ya Lille ya Ufaransa kwenye Dimba la Emirates ambapo mchezo huu unatarajiwa kuwa wa kuvutia haswa.
Lille pia nao wametoka kupata ushindi kwenye mechi yao ya ligi, huku kwa upande wa Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa ya ushindi bingwa mtetezi wa EPL kutokana na kuwa wenyeji wa mchezo, lakini pia uzoefu mkubwa kwenye mashindano haya.
Arsenal wanahitaji ushindi na timu ambayo inasifika kwa kujilinda zaidi na kushambulia pale ambapo wanahitajika, lakini watakuwa nyumbani hivyo pointi tatu ni muhimu sana kwa upande wao. Lille wanaweza kuingia dimbani kwa kutaka sare na kushambuliwa kwa zamu.
Pesa ya maana ipo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mashaindano yoyote. Je nani ataondoka na ushindi siku ya leo?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ya kukata na shoka ni hii ya Atletico Madrid dhidi ya Manchester United mchezo ambao utavuta hisia kubwa za mashabiki kutoka na ukubwa wa hizi timu zote mbili ambazo zinacheza siku ya leo.
Diego Simeone na vijana wake wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na ari ya juu zaidi baada ya kupata ushindi mnono kwenye mechi yao iliyopita, hivyo kwenye mechi hii wanahitaji kuwa watulivu na kutumia nafasi zao vyema kabisa dhidi ya United.
Wakati huo huo United chini ya Michael Carrick hali ni mbaya huku wakiwa wamepata pointi 6 pekee kwenye mechi 6 ambazo wamecheza, na mechi iliyopita walishindwa kupata ushindi mbele ya timu yenye wachezaji pungufu.
Huu ni mchezo ambao Manchester wanatarajiwa kufanya vizuri ili kurudisha ile nguvu yao na kujiamini kwasababu hii ni Ligi ya Mabingwa, hivyo wasipoaangalia wanaweza wakaangukia pabaya.
ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mchezo huu pale Meridianbet, ingia kwenye akaunti yako na uberti sasa.
Nao Mabingwa watetezi wa LALIGA, FC Barcelona watakuwa ugenini kusaka ushindi wao wa pili dhidi ya Galatasaray Instanbul ambao walianza vibaya mechi ya kwanza kwa kupigika, hivyo hii ni mechi ya wao kusaka ushindi.
Wanakutana na Barcelona ya Hans Flick ambao mpaka sasa wameshinda mechi zao zote tena kwa kucheza vizuri kutokana na kuwa na wachezaji wenye ubora wa hali ya juu. Je mabingwa hao wa Uturuki watafanya nini?. Jisajili hapa.
Timu hizi mbili mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu wa 2022 kwenye michuano ya Europa League ambapo Barca aliondoka na pointi 4 kwenye mechi zote mbili. Pia wataendelea kumkosa Raphinha ambaye bado ana majeraha.
Kwa upande wa Villarreal wao watakuwa dimbani kuska ushindi dhidi ya Napoli kwenye dimba la Estadio de la CerĂ¡mica nchini Hispania. Timu zote zinahitaji matokeo mazuri baada ya kupoteza mechi zao za ufunguzi wa mashindano haya. Villarreal walifungwa mabao 3-2 na Borussia Dortmund, huku Napoli wakipoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Arsenal.
Lakini Nyambizi wa Njano huu ni mchezo ambao watakuwa wakiutazama kwa jicho lingine kabisa hasa baada pia ya kupoteza kwenye ligi mechi yao iliyopita wakiwa ugenini.
Napoli chini ya Allgeri wataingia uwanjani kwa kujiamini hasa baada ya kupata ushindi mnono kabisa wakiwa nyumbani kwao. Lakini pia urejeo wa McTominay unawapa nguvu zaidi kuelekea mchezo huu. Jisajili hapa.


.png)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...