MASHABIKI wa michezo ya kasino mtandaoni wana sababu nyingine ya kuongeza msisimko kupitia Meridianbet, baada ya ujio wa shindano la Amusnet Cash Spin Race linaloanza Oktoba 10 hadi Oktoba 22, 2026. Hili ni shindano maalumu linalowapa wachezaji nafasi ya kushindana kwenye michezo teule ya sloti za Amusnet na kuwania sehemu ya zawadi nono ya jumla ya Shilingi Milioni 4 za Kitanzania. Kwa wapenzi wa burudani ya kasino, huu ni wakati wa kuingia kwenye mashindano, kufuatilia nafasi zao kwenye jedwali la msimamo na kuona kama wanaweza kufikia kilele cha msisimko.
Kupitia Amusnet Cash Spin Race, kila raundi inaweza kuwa sehemu ya safari ya kupanda kwenyemsimamo. Ili kushiriki, mchezaji anatakiwa kucheza michezo ya sloti ya Amusnet inayoshiriki kwenye promosheni hii kwa dau la chini la Shilingi 500 kwa kila raundi. Kadiri mashindano yanavyoendelea, macho yote yatakuwa kwenye nafasi za washiriki na zawadi zinazowasubiri watakaomaliza katika nafasi za juu.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Msisimko unaongezeka zaidi ukitazama zawadi zilizowekwa mezani. Mshindi wa nafasi ya kwanza ataondoka na Shilingi Milioni 1, huku mshindi wa pili akijinyakulia Shilingi 800,000. Nafasi ya tatu nayo ina zawadi ya Shilingi 500,000, kiasi kinachofanya ushindani kuwa wa kuvutia zaidi. Hizi ni nafasi tatu za juu zinazotarajiwa kuvuta hisia za washiriki wanaolenga kumaliza kileleni mwa jedwali kabla ya muda wa mashindano kuisha.
Lakini si washindi watatu wa kwanza pekee watakaonufaika na promosheni hii ya Meridianbet. Wachezaji watakaomaliza nafasi ya nne na ya tano watapata Shilingi 350,000 kila mmoja, huku nafasi ya sita hadi ya kumi zikilipwa Shilingi 100,000 kwa kila mshindi. Kwa upande mwingine, washiriki watakaomaliza nafasi ya 11 hadi ya 20 watajipatia Shilingi 50,000 kila mmoja. Kwa jumla, nafasi 20 zimetengwa kwa washindi, jambo linalofanya mbio hizi kuwa na zawadi zinazogusa kundi kubwa la washiriki watakaotimiza masharti na kushika nafasi zinazolipwa.
Sasa nani ataibuka kinara wa Amusnet Cash Spin Race na kutwaa zawadi ya Shilingi Milioni 1? Mashindano haya yanakupa nafasi ya kujaribu bahati yako kwenye michezo teule ya sloti za Amusnet kupitia Meridianbet huku ukifuatilia matokeo ya msimamo wa washindi. Tembelea Meridianbet, chunguza michezo inayoshiriki na ufurahie burudani. Milioni 4 zipo kwenye zawadi za shindano hili kwa ajili yako.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...