Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Bungeni Jijini Dodoma kushiriki hafla ya Kumbukizi ya Miaka 10 ya Kifo cha Hayati Samwel Sitta, ambapo atazindua kitabu cha maisha na safari ya uongozi wake. Hayati Samwel Sitta alikuwa Mbunge na Spika Mstaafu na pia amewahi kushika nyadhifa nyingine katika Serikali kuanzia Awamu ya Kwanza ya Utawala.
Home
HABARI
MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS SAMIA HAFLA KUMBUKIZI YA MIAKA 10 YA HAYATI SAMWELI SITA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...