Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa Chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, ameshiriki vikao vya Kamati ya Siasa na Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
Vikao hivyo vilivyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, vililenga kutathmini utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho mkoani humo.
Hii ni mara ya kwanza kwa Mhe. Ndejembi kushiriki vikao hivyo tangu alipoteuliwa na Kamati Kuu ya CCM kuwa mlezi wa mkoa huo.
Awali, alipowasili, alipokelewa na viongozi na wanachama wa CCM, huku mapokezi hayo yakihusisha gwaride rasmi la vijana wa UVCCM na kuvikwa skafu maalumu iliyoashiria amani, umoja na uwajibikaji

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...