KAMA kawaida wikendi ndiyo hivyo inaenda kuanza na ligi mbalimbali Duniani zinarejea hivyo hii ndio nafasi ya wewe kutengeneza pesa. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet na ubashiri sasa.

Ligi kuu ya Hispania, LALIGA kutakuwa na mtanange mmoja kati ya Athletic Bilbao dhidi ya Espanyol Barcelona ambao mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi wapo nafasi ya 13 huku wenyeji woa wakiwa nafasi ya 7, kwa tofauti ya pointi 3 pekee.

Mechi iliyopita Bilbao ametoka kutao sare ya kufungana, wakati wageni wao wakitoa suluhu, hivyo pointi 3 ni muhimu sana kwenye mechi hii ya leo kwa timu zote mbili. Pale Meridianbet mechi hii imepewa ODDS KUBWA, tengeneza jamvi lako na ubeti sasa.

Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana, Bilbao alipoteza, hivyo leo hii ni siku maalumu kwa wao kulipa kisasi. Je Espanyol ataendeleza ubabe wake?. Jisajili hapa.

Nafasi ya kutengeneza pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kule Ujerumani, BUNDESLIGA napo kitawaka haswa ambapo mabingwa watetezi wa ligi, Bayern Munich watawakaribisha kwao FC Cologne ambao wanashika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Kompany wanahitaji kushinda mechi hii ili waendelee kujikita kileleni kwenye msimamo wa ligi.

FC Cologne wao bado hawana mwendelezo mzuri wa matokeo hivyo wanatazamia kupata matokeo dhidi ya wababe hawa wa Ujerumani huku mechi ya mwisho ikionesha walivyokutana Bayern walishinda kwa kishindo. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Beti sasa.

Vilevile unaweza ukapiga pesa kwenye mechi ya LIGUE 1 kule Ufaransa kati ya Troyes dhidi ya Le Havre ya kina Mbwana Samatta. Hii ni mechi ambayo inazikutanisha timu mbili ambazo zote zipo chini kwenye msimamo wa ligi.

Troyes yupo nafasi ya 17 huku Le Havre yeye akiwa ndio wa mwisho kwenye ligi akiwa amekusanya pointi 2 pekee kwenye mechi 10 ambazo amecheza hadi sasa, huku mwenyeji wake akiwa na pointi 8.

Ushindi ni muhimu kwenye timu zote mbili ili kuanza safari ya kujiondoa kwenye nafasi za chini walizopo. Je nani anaondoka na ushindi siku ya leo?. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo.

Pia kule Saudia, ligi kuu itaendeela yaani SAUDI PROFFESIONAL LEAGUE kati ya Al Ahli dhidi ya Al Nassr, moja ya mechi kali kabisa za kutazama kwani timu zote mbili zina wachezaji wkaubwa na wenye uzoefu wa hali ya juu kabisa.

Al Ahli yupo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi, huku kina Ronaldo wao wakiwa nafasi ya 3 baada ya kukusanya pointi zao 28, wakiwa mbele pointi 7 kwa mwenyeji wao.

Msimu uliopita, kwenye mechi mbili walizokutana za ligi, kila timu ilishinda mechi ya nyumbani kwake. Je leo hii nani ataondoka na pointi 3?. Jisajili hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...