Afisa wa Huduma Mpya za Kifedha wa Vodacom M-Pesa, Sylivester Lukeka(kulia), akielekeza wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika chuoni hapo, Novemba 20, 2026. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania iliwahamasisha wanafunzi wapya kutumia teknolojia na huduma za kidijitali kama nyenzo muhimu za kujenga ujuzi, kujiongezea kipato na kujiandaa kwa fursa za ajira na ujasiriamali.
Aidha, kampuni hiyo iliwatambulisha wanafunzi kwenye mpango wa TECHSTART, unaowawezesha kupata mafunzo mbalimbali ya Microsoft bila malipo ili kuwajengea ujuzi wa kidijitali. Sambamba na hilo, wanafunzi walielimishwa kuhusu huduma ya M-Wekeza ya Vodacom M-Pesa, inayowapa fursa ya kuanza kuwekeza na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadaye. Hatua hiyo ni sehemu ya dhamira ya Vodacom Tanzania ya kuwawezesha vijana kushiriki na kunufaika na fursa zinazotokana na ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini.
Afisa wa Huduma Mpya za Kifedha wa Vodacom M-Pesa, Sylivester Lukeka (kushoto), akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa majadiliano yaliyofanyika katika hafla ya UDSM Freshers Connect, Novemba 20, 2026. Kupitia mazungumzo hayo, wanafunzi walipata ufafanuzi kuhusu huduma ya M-Wekeza na fursa za kujenga ujuzi wa kidijitali kupitia mpango wa TECHSTART, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Vodacom Tanzania za kuwaandaa vijana kutumia fursa za ajira, ujasiriamali na uchumi wa kidijitali.
Mkuu wa Idara ya Bei za Bidhaa na Makundi Maalumu ya Wateja wa Vodacom Tanzania, Gemma Vedasto Kamara akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika Novemba 20, 2026. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania iliwahamasisha wanafunzi wapya kutumia teknolojia na huduma za kifedha za kidijitali kujenga ujuzi, kujiongezea kipato na kujiandaa kwa fursa za kiuchumi.
Afisa wa Huduma Mpya za Kifedha wa Vodacom M-Pesa, Sylivester Lukeka (kushoto), akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa majadiliano yaliyofanyika katika hafla ya UDSM Freshers Connect, Novemba 20, 2026. Kupitia mazungumzo hayo, wanafunzi walipata ufafanuzi kuhusu huduma ya M-Wekeza na fursa za kujenga ujuzi wa kidijitali kupitia mpango wa TECHSTART, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Vodacom Tanzania za kuwaandaa vijana kutumia fursa za ajira, ujasiriamali na uchumi wa kidijitali.
Mkuu wa Idara ya Bei za Bidhaa na Makundi Maalumu ya Wateja wa Vodacom Tanzania, Gemma Vedasto Kamara akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika Novemba 20, 2026. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania iliwahamasisha wanafunzi wapya kutumia teknolojia na huduma za kifedha za kidijitali kujenga ujuzi, kujiongezea kipato na kujiandaa kwa fursa za kiuchumi. Kampuni hiyo pia iliwatambulisha wanafunzi kwenye mpango wa TECHSTART, unaowawezesha kupata mafunzo ya Microsoft bila malipo, pamoja na huduma ya M-Wekeza inayowapa fursa ya kuanza safari ya uwekezaji na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.

Mkuu wa Idara ya Bei za Bidhaa na Makundi Maalumu ya Wateja wa Vodacom Tanzania, Gemma Vedasto Kamara (kulia), pamoja na Afisa wa Huduma Mpya za Kifedha wa Vodacom M-Pesa, Sylivester Lukeka (kushoto), wakimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (katikati), wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika chuoni hapo Novemba 20, 2026.
Kampuni hiyo pia iliwatambulisha wanafunzi kwenye mpango wa TECHSTART, unaowawezesha kupata mafunzo ya Microsoft bila malipo, pamoja na huduma ya M-Wekeza inayowapa fursa ya kuanza safari ya uwekezaji na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadayea kupata mafunzo ya Microsoft bila malipo, pamoja na huduma ya M-Wekeza inayowapa fursa ya kuanza safari ya uwekezaji na kujenga utamaduni wa kuweka akiba kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.
Mkuu wa Idara ya Bei za Bidhaa na Makundi Maalumu ya Wateja wa Vodacom Tanzania, Gemma Vedasto Kamara (wa tano kutoka kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliokamilisha mafunzo ya muda mfupi kupitia mpango wa TECHSTART, wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika chuoni hapo, Novemba 20, 2026. Wanafunzi hao walionesha vyeti vyao kwa kutumia simu zao kama ishara ya mafanikio baada ya kukamilisha mafunzo hayo, yanayolenga kuwajengea ujuzi wa kidijitali kupitia kozi fupi za Microsoft. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania iliendelea kuonesha dhamira yake ya kuwawezesha vijana kwa kuwapatia fursa za kujifunza, huku pia ikiwahamasisha kutumia huduma ya M-Wekeza kujenga utamaduni wa kuweka akiba na kuwekeza kwa ajili ya maisha yao ya baadaye.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwahudumia wanafunzi katika banda la kampuni hiyo wakati wa hafla ya UDSM Freshers Connect iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Novemba 20, 2026. Kupitia hafla hiyo, Vodacom Tanzania ilitoa elimu kuhusu matumizi ya huduma zake za mawasiliano na fedha kwa njia ya kidijitali, ikiwahamasisha vijana kutumia teknolojia kurahisisha shughuli zao za kila siku, kujenga tabia ya kuweka akiba na kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...