atraco ya rwanda usiku wa kuamkia leo wametwaa ubingwa wa chalenji baada ya kuishinda el merreikh ya sudan bao 1-0 kwenye fainali za chalenji mwaka 2009 zilizofanyika kharthoum, sudan, ambapo bongo iliwakilishwa na prisons ambayo ilitoka mapema. bao la ushindi lilifungwa na hamisi kitagenda mnamo dakika ya 15


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2009

    safi sana abhanyagwanda. mulakoze chane, kwa mlichokifanya. ni muhimu sana kuandika historia, na hiyo inatia moyo kuwa sio APR tu, hata nyie mnaweza. Prison walitakiwa pia kujifunza kutoka kwenu, kuwa woga hausaidii, na sio simba tu na yanga ndo wanamajina tanzania.
    BIG UP.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2009

    ..japo nao wameonja machungu walosababishia yanga hapa dar es salaam, enzi za akina aboubakr 'sureboy' salum..

    ReplyDelete
  3. ongera sana... kuchukua ubingwa ugenini ni kazi kubwa hasa hasa kwa nchi kama sudani katika ukanda wetu huu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2009

    ..kuna picha zimetundikwa kuleee nyuma,sio yule jamaa anatafutwa na OKAMPO wa ICC??

    yan sudani wanabeba kombe sie tupo tuuuuu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...