Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Vicky Nsilo Swai (kulia) akimkabidhi cheti kamanda wa UVCCM wa Wilaya ya Moshi Mjini, Aggrey Marealle kwenye sherehe ya kufunga kambi ya vijana wa CCM iliyodumu kwa wiki moja amabapo walijifunza itikadi na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu. Katikati ni Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Moshi Mjini, Godliving Moshi. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi.

lol, agrey umekuwa kama askari wa jiji kivazi hicho mwana kimekutoa
ReplyDeleteCHADEMA OYE!! Ndesamburo hoyee! Mbowe hoyee!!
ReplyDeleteAggrey tuambiane bwana. ni ubunge 2015 unaounyemelea au...maana nakuona siku hizi mmh...haya bwana, anza kuvuta kasi sasa kwani 2015 siyo mbali hiyooo...na Ndesapesa hatagombea...kazi kwenu. Kwa Oktoba hii mwanangu nakushauri usitie pua...utaangukia pua..waachie waliomo kwani bado wamo....si unawajua?? Balozi Nkya, Meja Jenerali Mstaafu kamanda Mbogo, Mama wakili....sijakutajia akina Faraji Kibaya akina Shamba ambao ndio watoto wa hapohapo.
ReplyDeleteHalafu nikuume sikio mwanangu...kuna mtoto wa mtaa wa chini mfanyabiashara mtanashati anayeitwa Chepe naye yumo mbioni.
Kazi kwenu