
Huyu bibie ndiye kiongozi wa wa umoja wa kinamama wakimbizi katika kambi ya wakimbizi wa burundi ya mtabila, kigoma. hoteli hii marufu imeshahudumia hata marais na viongozi mbalimbali na wageni watembeleapo kambi hiyo. sina uhakika sheria ya hakimiliki ya majina inasemaje lakini usipokula sheraton mtabila uwapo huko una matatizo.
aidha hii ni mojawapo ya insha zangu nyingi zilizonipatia tuzo za uandishi uliotukuka. endapo kama mmependezwa nayo, ninazo nyingi kama hii, zenye 'human interest' na sio za kulenga viongozi kama ilivyo hulka yetu waandishi wa bongo.
of course waandishi wetu wa bongo wamezidi ku-focus sana kwenye uongozi na watu high-profile.
ReplyDeleteWajameni msisahau watu wa kawaida. Wao ndiyo husoma magazeti.
insha iko wapi?
ReplyDeletehiyo ya sheraton mtabila ni insha ya picha, ama photo essay, mkwa kwa mujibu wa kaujuzi kangu kadogo...
ReplyDelete