Huyu bibie ndiye kiongozi wa wa umoja wa kinamama wakimbizi katika kambi ya wakimbizi wa burundi ya mtabila, kigoma. hoteli hii marufu imeshahudumia hata marais na viongozi mbalimbali na wageni watembeleapo kambi hiyo. sina uhakika sheria ya hakimiliki ya majina inasemaje lakini usipokula sheraton mtabila uwapo huko una matatizo.

aidha hii ni mojawapo ya insha zangu nyingi zilizonipatia tuzo za uandishi uliotukuka. endapo kama mmependezwa nayo, ninazo nyingi kama hii, zenye 'human interest' na sio za kulenga viongozi kama ilivyo hulka yetu waandishi wa bongo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. of course waandishi wetu wa bongo wamezidi ku-focus sana kwenye uongozi na watu high-profile.

    Wajameni msisahau watu wa kawaida. Wao ndiyo husoma magazeti.

    ReplyDelete
  2. insha iko wapi?

    ReplyDelete
  3. hiyo ya sheraton mtabila ni insha ya picha, ama photo essay, mkwa kwa mujibu wa kaujuzi kangu kadogo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...