mfanyabiashara iddi janguo kaachana na ukapera ijumaa iliyopita na kuopoa toto moja la kimanga na kuliweka ndani. hii ni yeye, mkewe na kamati ya maandalizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Nimeshamliza ile nyumba ya Iddi hapa Kimanzichana. Ina vyumba viwili na baraza. Choo cha uani. Keshokutwa nampa ufunguo.

    ReplyDelete
  2. Huna picha zaidi Bro. Michuzi?

    ReplyDelete
  3. Aisee kweli huna picha zaidi? Umetuacha na hamu sana!

    ReplyDelete
  4. Inapendeza

    Kwa hakika umefanya kazi nzuri sana ya kutuonyesha harusi hii inayoashiria kufana sana nasi twawaombea mungu maarusi waishi kama babu na bibi.

    picha ni nzuri sana hongera.

    Fatma Karama

    ReplyDelete
  5. @ Mark Msaki,
    Nipo ndugu yangu....

    ReplyDelete
  6. Tutafutie picha za harusi za wanablog kama tayari wama wenza.Naomba uanze na brother Ndesanjo na hata zako michuzi kama ukiweza ili tujuana ndugu yangu kwani barabarani tunakutana na wengi ndugu yangu kwahiyo tusije tukadhulumiana

    ReplyDelete
  7. Tutafutie picha za harusi za wanablog kama tayari wama wenza.Naomba uanze na brother Ndesanjo na hata zako michuzi kama ukiweza ili tujuana ndugu yangu kwani barabarani tunakutana na wengi ndugu yangu kwahiyo tusije tukadhulumiana

    ReplyDelete
  8. Tutafutie picha za harusi za wanablog kama tayari wama wenza.Naomba uanze na brother Ndesanjo na hata zako michuzi kama ukiweza ili tujuana ndugu yangu kwani barabarani tunakutana na wengi ndugu yangu kwahiyo tusije tukadhulumiana

    ReplyDelete
  9. fikra mara tatu? inaonyesha msisitizo!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2006

    MICHUZI WEKA ILE PICHA ULIYOWAPIGA WAKWE ZAKO SIKU YA HARUSI YAKO. NAKUMBUKA mc ALISEMA LEO HUNA UJANJA KWENE HARUSI YAKO MARA UKATOA KIJIKAMERA KIDOGO UKAWAFOTOA WAKWEZO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...