Home
Unlabelled
iddi janguo aopoa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimeshamliza ile nyumba ya Iddi hapa Kimanzichana. Ina vyumba viwili na baraza. Choo cha uani. Keshokutwa nampa ufunguo.
ReplyDeleteHuna picha zaidi Bro. Michuzi?
ReplyDeleteAisee kweli huna picha zaidi? Umetuacha na hamu sana!
ReplyDeleteda mija upo?
ReplyDeleteInapendeza
ReplyDeleteKwa hakika umefanya kazi nzuri sana ya kutuonyesha harusi hii inayoashiria kufana sana nasi twawaombea mungu maarusi waishi kama babu na bibi.
picha ni nzuri sana hongera.
Fatma Karama
@ Mark Msaki,
ReplyDeleteNipo ndugu yangu....
Tutafutie picha za harusi za wanablog kama tayari wama wenza.Naomba uanze na brother Ndesanjo na hata zako michuzi kama ukiweza ili tujuana ndugu yangu kwani barabarani tunakutana na wengi ndugu yangu kwahiyo tusije tukadhulumiana
ReplyDeleteTutafutie picha za harusi za wanablog kama tayari wama wenza.Naomba uanze na brother Ndesanjo na hata zako michuzi kama ukiweza ili tujuana ndugu yangu kwani barabarani tunakutana na wengi ndugu yangu kwahiyo tusije tukadhulumiana
ReplyDeleteTutafutie picha za harusi za wanablog kama tayari wama wenza.Naomba uanze na brother Ndesanjo na hata zako michuzi kama ukiweza ili tujuana ndugu yangu kwani barabarani tunakutana na wengi ndugu yangu kwahiyo tusije tukadhulumiana
ReplyDeletefikra mara tatu? inaonyesha msisitizo!
ReplyDeleteMICHUZI WEKA ILE PICHA ULIYOWAPIGA WAKWE ZAKO SIKU YA HARUSI YAKO. NAKUMBUKA mc ALISEMA LEO HUNA UJANJA KWENE HARUSI YAKO MARA UKATOA KIJIKAMERA KIDOGO UKAWAFOTOA WAKWEZO
ReplyDelete