JK akila gahawa na bw. harusi iddi janguo na baba wa bw. harusi mzee athumani jaungo muda mfupi baada ya ndoa kufungwa. kwa wasio waislamu ni kwamba ndoa hufungwa baina ya baba mkwe na muoaji na sheikh, baada ya ridhaa ya bi. harusi, na ndipo maharusi huungana baada ya hafla kama hiyo hapo juu. mtu asijeuliza bi harusi yu wapi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wazaramo wanamaindi sana wanawake weupe hongera zako Iddi umepewa toto hana hata kovu usijemfanya gunia la ngumi

    ReplyDelete
  2. hawezi kufanywa gunia la ngumi. Kimanzichana hatudundi wanawake,

    ReplyDelete
  3. Hivi huyu Janguo ni ndugu ya Janguo aliyefungwa America kwa kesi ya wizi wa ya fedha?.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...