Jamaa akijichana na dafu jijini Dar huku muuzaji akiwa kapakia miche kibao ya minazi kwenye baiskeli yake akiiuza kwa bei nafuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

 1. sawa kabisa hapo ni kisutu makutano ya ile barabara inatoka wizara ya sayansi kwenda mnazimmoja na ile inayotokea CBE nimezisahau majina, lakini si mbali sana na zanzibar hotel, happy au jambo inn!

  safi sana unatuburudisha kweli!!

  ReplyDelete
 2. panatazamana na lile duka la cd na video

  ReplyDelete
 3. Duh Hizo Vocha zimepanda bei kiasi hicho??

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...