
katika kuendelea kuwatia moto mrudi nyumbani ni kwamba kakampuni kangu kanakoitwa photo point pia kanadhamini shindano la 'miss photogenic' wakati wa 'miss tanzania' na mwaka huu mshindi alikuwa natalie noel tuliyempa 0.5m/-, taji na mikataba kadhaa ya matangazo. hapo nipo na meneja wangu tukienda kutoa taji kwa mshindi. natalie pia aliibuka mshindi wa pili nyuma ya nancy.
haloo kwanza kwa niaba yangu binafsi na familia yangu! si ndio kampuni yako ilimweka nancy kwenye ramani? ikiwa hivyo basi unafanya kazi kwa kufuata vigezo - kwa ufupi sio mbabaishaji! pia pongezi nyingi kwa hilo!
ReplyDeletecheers!
Meneja wako anaitwa nani vile?
ReplyDeleteAsante,
F MtiMkubwa Tungaraza.
Michuzi,
ReplyDeleteLazima nikupe HONGERA!
Kazi nzuri na asante kwa kutupa moyo sisi tulio ughaibuni.
Mti Mkubwa Mkavu koma! Koma!!! Nshasema hivooo, ohoooo...
ReplyDeleteMchuuzi,
ReplyDeleteNini tena? Nimeuliza jina imekuwa kama nimemkanyaga kenge mkia!
Halafu unasemaje wewe jina lako Michuzi halafu mtu aende kukuita Mchuuzi?
F MtiMkubwa Tungaraza.