katika kuendelea kuwatia moto mrudi nyumbani ni kwamba kakampuni kangu kanakoitwa photo point pia kanadhamini shindano la 'miss photogenic' wakati wa 'miss tanzania' na mwaka huu mshindi alikuwa natalie noel tuliyempa 0.5m/-, taji na mikataba kadhaa ya matangazo. hapo nipo na meneja wangu tukienda kutoa taji kwa mshindi. natalie pia aliibuka mshindi wa pili nyuma ya nancy.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. haloo kwanza kwa niaba yangu binafsi na familia yangu! si ndio kampuni yako ilimweka nancy kwenye ramani? ikiwa hivyo basi unafanya kazi kwa kufuata vigezo - kwa ufupi sio mbabaishaji! pia pongezi nyingi kwa hilo!

    cheers!

    ReplyDelete
  2. Meneja wako anaitwa nani vile?

    Asante,

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  3. Michuzi,

    Lazima nikupe HONGERA!

    Kazi nzuri na asante kwa kutupa moyo sisi tulio ughaibuni.

    ReplyDelete
  4. Mti Mkubwa Mkavu koma! Koma!!! Nshasema hivooo, ohoooo...

    ReplyDelete
  5. Mchuuzi,

    Nini tena? Nimeuliza jina imekuwa kama nimemkanyaga kenge mkia!

    Halafu unasemaje wewe jina lako Michuzi halafu mtu aende kukuita Mchuuzi?

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...