
Rais wa Shirikisho la soka bongo, leodgar tenga ( wa tano kushoto) akiwa na nyota wa zamani wa bongo toka kushoto Maulid Dilunga "mexico", Fred Felix minziro, Lawrence Mwalusako, Mtemi Ramadhani, James Kisaka, Zamoyoni Mogella, Juma Mkambi na Juma Pondamali. Hii ilikuwa leo kwenye mdahalo wa wa kuendeleza soka bongo.
Nini kilijiri kwenye mdahalo huo?Tulio mbali tungependa kujua pia masuala haya.
ReplyDeletenamuunga mkono jeff kuwa tungependa ripoti itoke bombani. naona hiyo ndio kasi na ari mpya!
ReplyDeleteBaada ya Kasim Manara kucheza Austria ndio basi tena hatuna wacheza wazuri wa kulipwa wanaoweza kununuliwa - Yanga au Simba wapate fedha? Maana ada ya uhamisho inaweza kuendesha timu vizuri tu.
ReplyDeleteAnyway - Golden Boy kapata umri kidogo.