
Lori likiwa limebeba ngozi kupeleka bandarini tayari kusafirishwa nje ya nchi. Ukosefu wa viwanda vya kutosha kusindikia ngozi kunalazimisha bongo kupeleka nje mali ghafi hiyo na kununua inaporudi kama viatu au mikoba. wenzangu huko ughaibuni mnakubali hali hii iendelee wakati bongo ni ya pili Afrika kwa kuwa na ngo'mbe wengi.
Kama sikosei Rostham Aziz na Juma Ngasongwa waliwahi kuwa mameneja wa Kiwanda cha Ngozi! Kama nimepata au nimekosa naomba mniambie.
ReplyDeleteF MtiMkubwa Tungaraza.