hapo ni ikulu lusaka enzi hizo. je waweza watambua hawa wazee wa kazi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hiyo ndio ilikuwa SADCC, oda zinatoka Dar,Maputo au Lusaka. Sasa hivi........? hakuna cha sasa kulia World Bank kuna mzee Paul kushoto kuna Bolton ndani ya UN, tutatia adabu.

    ReplyDelete
  2. Namwona Marehemu Samore Machel kushoto.

    ReplyDelete
  3. Blogu yako nimeifurahia sana. Hata mimi huona maandishi hayakamiliki bila picha basi ndio maana nimevutiwa mno.

    Nawaona: Samora Machel kushoto, Kenneth Kaunda katikati na Mwalimu Julius Nyerere kulia.

    ReplyDelete
  4. ina maana masire wa botswana (shoto) na dos santos wa angola (tatu shoto) mmewasahau? vibaya hivyo chemi!!

    ReplyDelete
  5. nyerere kaunda na machel nimewatambua hao wengine niliwahisi tu!

    ReplyDelete
  6. Mi naona hapo yupo Nyerere kwa pembeni akifuatiwa na Kaunda halafu kushoto kabisa yupo Marehemu Samora Machel. Hao wengine nimegota.

    ReplyDelete
  7. Ngoja nikusaidie Bwaya, kuna Nujoma,Machel Samora,huyo wa kati hapo nadhani ni Dos Santos wa Angola.Wengine wanajulikana kama ulivyotaja.Sijui nimepatia?

    ReplyDelete
  8. wakati huo walikuwa wanajua kutunza mwili hakuna vitambi hapo ,lakini sasa hao viongozi wetu ,na wananchi kwa ujumla hayo matumbo.....

    ReplyDelete
  9. Hayo Mapekosi miye hoi,mchango wao ni muhimu na daima utakumbukwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...