Home
Unlabelled
wazee wa kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo ndio ilikuwa SADCC, oda zinatoka Dar,Maputo au Lusaka. Sasa hivi........? hakuna cha sasa kulia World Bank kuna mzee Paul kushoto kuna Bolton ndani ya UN, tutatia adabu.
ReplyDeleteNamwona Marehemu Samore Machel kushoto.
ReplyDeleteBlogu yako nimeifurahia sana. Hata mimi huona maandishi hayakamiliki bila picha basi ndio maana nimevutiwa mno.
ReplyDeleteNawaona: Samora Machel kushoto, Kenneth Kaunda katikati na Mwalimu Julius Nyerere kulia.
ina maana masire wa botswana (shoto) na dos santos wa angola (tatu shoto) mmewasahau? vibaya hivyo chemi!!
ReplyDeletenyerere kaunda na machel nimewatambua hao wengine niliwahisi tu!
ReplyDeleteMi naona hapo yupo Nyerere kwa pembeni akifuatiwa na Kaunda halafu kushoto kabisa yupo Marehemu Samora Machel. Hao wengine nimegota.
ReplyDeleteNgoja nikusaidie Bwaya, kuna Nujoma,Machel Samora,huyo wa kati hapo nadhani ni Dos Santos wa Angola.Wengine wanajulikana kama ulivyotaja.Sijui nimepatia?
ReplyDeletewakati huo walikuwa wanajua kutunza mwili hakuna vitambi hapo ,lakini sasa hao viongozi wetu ,na wananchi kwa ujumla hayo matumbo.....
ReplyDeleteHayo Mapekosi miye hoi,mchango wao ni muhimu na daima utakumbukwa.
ReplyDelete