hii ndo festi ileveni ya simba ilocheza jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. angurumapo simba mcheza nani?

    ReplyDelete
  2. Tuwekee picha ya Mabingwa watetezi wa ligi ya Vodacom, Yanga. Mahadhi jana aliwashikisha adabu mpaka mkamuumiza.

    ReplyDelete
  3. Bw. Michuzi,

    Tafadhali tunaomba picha ya timu ya Yanga.

    Shukrani.

    ReplyDelete
  4. Shukrani Michuzi. Naomba mtu aputie listi kamili ya hawa wachezi wanaonekana kwenye hio picha.

    ReplyDelete
  5. walio simama kutoka kulia.. Juma Kaseja, Chris Elex, Vicktor Costa, Haruna moshi,....
    Walio piga magoti.. wapili kutoka kulia .. Mwakigwe, Daniel Mrwanda, Sudi Abdi.. wengine siwajui..

    ReplyDelete
  6. kutoka kulia walio simama, Kaseja, chris Alex, V.Costa, A.Moshi, Saidi Swedi, huyo simjui, nahisi ni S.Ndikumana, walio chuchumaa, wapili kutoka kulia Mwakigwe, D. Mrwanda, S Abdi, hao wawili ni Saidi Koko, na Athuman Idd, ila siwatambui kwa sura..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...