maskini jamaa kagongwa na gari ambalo limeingia mitini. sijui atafanyaje sasa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Those who don't have bicycles today, give Them one tomorrow,
    Those who have bicycles today,
    Give them motorbikes tomorrow,
    Those who have motobikes today,
    Give them cars tomorrow,
    Those who have cars today,
    Give them two tomorrow.

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Tajiri na gali lake masikini na mkokoteni wake. Hakuna urafiki.

    ReplyDelete
  2. Inabidi sasa madereva wapewe semina ili watambue haki za watumiaji vyombo vya miguu miwili hasa baiskeli kwani ni wengi wanakufa barabarani bila hatia huku wakosaji wakitimua mbio na vyombo vyao vya miguu minne.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...