kuna jamaa aliomba picha ya siku ya mgomo wa madaktari na manesi muhimbili. sina nia ya kutekenya kitu ama jambo ila naona ni wajibu wangu kuweka kumbukumbu sawa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. na mimi naomba picha za watuhumiwa wa ujambazi wale wawili.

    ReplyDelete
  2. jamaa anamcheka bibi wa watu?

    ReplyDelete
  3. anony wa kwanza hapo juu usifiche tunaomba picha ya alex massawe na Ray majizi

    ReplyDelete
  4. Huyo dokta hana adabu wala huruma ona hapo anamcheka bibi wa watu.

    ReplyDelete
  5. Kosa kama hili lisikae lirudie tena kwani linaumizza watanzania halisi sio wale wenye uwezo wa kutafuta njia mbadala kama kenda Aga khan au TMJ

    ReplyDelete
  6. it happened during mwinyi regime and we have seen it again during mkapa and more likely it will happen in the near future,because nothing have been improved.

    ReplyDelete
  7. michuzi tunaheshimu sana freedom yako ya press lakini hapo umechemsha. inaonekana hii picha siyo ya wakati wa mgomo...maana wakati wa mgomo madaktari walikuwa na hasira kweli kweli! walikuwa hawacheki cheki na mtu namna hiyo!!!!

    halafu hawa washkaji wanalaumu madaktari wanafikiri ni rahisi kuwa doc eh! si wawe nao kama wana akili ya kusoma udaktari! siyo kitu cha kuchezea, na bado migomo itaendelea kuwepo kama wasipoongeza mishahara la sivyo madaktari wataondoka nchini kwenda nje, si mmeona jinsi UK walivyolegeza masharti ya visa kwa watu muhimu kama madaktari??? Tanzania itrakosa kabisa madaktari...nenda mwananyamala uone kuna madaktari wangapi...ndo ujue ni wachache na hawatoshi sasa fikiria wakianza kutoka nje kwa kasi na ari mpya sijui itakuwaje!!!!!

    badala wananchi tuwaelewe madaktari na umuhimu wao tuwasupport ili wabaki hapa wakitibu maskini watanzania, tunawakejeli na kuwadharau...sasa je wakiamua kutokugoma na kuanza kuondoka nchini kwenda nje, nani ataumia???? maana ni kweli kabisa mishahara yao hapo kwetu ni midogo na wanaishi katika hali ngumu mno! usitegemee moyo wa huruma kwa watu wengine utakuwepo wakati wao hawajahurumiwa na mtu yeyote!!!uzalendo gani huo wa upande mmoja tu???

    Cheers,
    The Great Villain! Nairobi

    ReplyDelete
  8. tena msiwachokoze kabisa madaktari mbona hamuongelei mambo kama former DCI adadi alivyoporomosha majumba huko mbezi beach, Mahita anavyomiliki mahospitali, hawa polisi walikuwa wanalipwa shilingi ngapi na je wamewezaje kujenga mansions kiasi hico? ni wapi walipopatia mali na watu kama kina mama mkapa wanavyonunua majengo ya benki na viwanda vya korosho kinyemela,na viongozi wa serikali wanavyonunua ma hekta ya ardhi na kumiliki mashea kwenye makampuni ya simu za cellular, wametoa wapi mitaji hii ghafla???? tusiongelee daktari anayedai kahela ka msosi tu tukaacha kuongelea wanasiasa na wakurugenzi na wakuu wa vitengo mbali mbali vya serikali ambao hata hawakusoma sana kiasi hicho lakini wanamiliki mamilioni!!!!! je hawa wana ethics za uongozi???

    mimi kwa kweli niliwaunga mkono sana madaktari na walimu kwa kusimama kudai haki zao. na nitawaunga mkono civil servanta wengine watakapoamua kusimama na kudai haki zao katika nchi hii, maana ni yetu sote na siyo ya wajanja wachache tu! wajanja hao wanasaini mikataba ya ajabu ajabu tu huku wakijinufaisha wao kwa ten percent bila kujali maslahi ya nchi wala nini!!!

    kamana

    ReplyDelete
  9. ....na kama JK na government yake akilifumbia macho hili basi watapoteza mamilioni kutusomesha afu tutaishia kuwa ma-administrators tugawane nao au tuishie zetu kwenye 'green pastures'...
    Frustrated Medical Student!
    MUCHS

    ReplyDelete
  10. michuzi fara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...