Home
Unlabelled
kunradhi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
na mimi naomba picha za watuhumiwa wa ujambazi wale wawili.
ReplyDeletejamaa anamcheka bibi wa watu?
ReplyDeleteanony wa kwanza hapo juu usifiche tunaomba picha ya alex massawe na Ray majizi
ReplyDeleteHuyo dokta hana adabu wala huruma ona hapo anamcheka bibi wa watu.
ReplyDeleteKosa kama hili lisikae lirudie tena kwani linaumizza watanzania halisi sio wale wenye uwezo wa kutafuta njia mbadala kama kenda Aga khan au TMJ
ReplyDeleteit happened during mwinyi regime and we have seen it again during mkapa and more likely it will happen in the near future,because nothing have been improved.
ReplyDeletemichuzi tunaheshimu sana freedom yako ya press lakini hapo umechemsha. inaonekana hii picha siyo ya wakati wa mgomo...maana wakati wa mgomo madaktari walikuwa na hasira kweli kweli! walikuwa hawacheki cheki na mtu namna hiyo!!!!
ReplyDeletehalafu hawa washkaji wanalaumu madaktari wanafikiri ni rahisi kuwa doc eh! si wawe nao kama wana akili ya kusoma udaktari! siyo kitu cha kuchezea, na bado migomo itaendelea kuwepo kama wasipoongeza mishahara la sivyo madaktari wataondoka nchini kwenda nje, si mmeona jinsi UK walivyolegeza masharti ya visa kwa watu muhimu kama madaktari??? Tanzania itrakosa kabisa madaktari...nenda mwananyamala uone kuna madaktari wangapi...ndo ujue ni wachache na hawatoshi sasa fikiria wakianza kutoka nje kwa kasi na ari mpya sijui itakuwaje!!!!!
badala wananchi tuwaelewe madaktari na umuhimu wao tuwasupport ili wabaki hapa wakitibu maskini watanzania, tunawakejeli na kuwadharau...sasa je wakiamua kutokugoma na kuanza kuondoka nchini kwenda nje, nani ataumia???? maana ni kweli kabisa mishahara yao hapo kwetu ni midogo na wanaishi katika hali ngumu mno! usitegemee moyo wa huruma kwa watu wengine utakuwepo wakati wao hawajahurumiwa na mtu yeyote!!!uzalendo gani huo wa upande mmoja tu???
Cheers,
The Great Villain! Nairobi
tena msiwachokoze kabisa madaktari mbona hamuongelei mambo kama former DCI adadi alivyoporomosha majumba huko mbezi beach, Mahita anavyomiliki mahospitali, hawa polisi walikuwa wanalipwa shilingi ngapi na je wamewezaje kujenga mansions kiasi hico? ni wapi walipopatia mali na watu kama kina mama mkapa wanavyonunua majengo ya benki na viwanda vya korosho kinyemela,na viongozi wa serikali wanavyonunua ma hekta ya ardhi na kumiliki mashea kwenye makampuni ya simu za cellular, wametoa wapi mitaji hii ghafla???? tusiongelee daktari anayedai kahela ka msosi tu tukaacha kuongelea wanasiasa na wakurugenzi na wakuu wa vitengo mbali mbali vya serikali ambao hata hawakusoma sana kiasi hicho lakini wanamiliki mamilioni!!!!! je hawa wana ethics za uongozi???
ReplyDeletemimi kwa kweli niliwaunga mkono sana madaktari na walimu kwa kusimama kudai haki zao. na nitawaunga mkono civil servanta wengine watakapoamua kusimama na kudai haki zao katika nchi hii, maana ni yetu sote na siyo ya wajanja wachache tu! wajanja hao wanasaini mikataba ya ajabu ajabu tu huku wakijinufaisha wao kwa ten percent bila kujali maslahi ya nchi wala nini!!!
kamana
....na kama JK na government yake akilifumbia macho hili basi watapoteza mamilioni kutusomesha afu tutaishia kuwa ma-administrators tugawane nao au tuishie zetu kwenye 'green pastures'...
ReplyDeleteFrustrated Medical Student!
MUCHS
michuzi fara
ReplyDelete