
ian mwaisunga (shoto), pili malundila na aloyce makonde wa kundi la dansa la kiafrika la kisasa (african contemporary dance) wakionesha mchezo wao mpya uitwao 'triangle' katika ukumbi wa utamaduni wa urusi. angalia viti vilivyo tupu, kuashiria wabongo hawamaindi kabisa tamaduni. wao ni ndombolo na bongoflava tu...
Haswa haswa Twanga Pepeta. Nataka nishiriki sio niona-ge tu, kama ulivyoshiriki wewe pale kweny ngwashala.
ReplyDelete