huenda wengi hamjui kuwa ndoa ya atc and saa imekaribia ukingoni na sasa twataka kodi ndege na kufufua atc yetu wenyewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndio matatizo ya ndoa za mkeka haya. Ila nifafanulieni katika ndoa hii nani alikuwa bwana harusi na nani alikuwa bibi harusi. Maana ubongo wangu umeshindwa kuchambua-ga.

    ReplyDelete
  2. Hii ndoa tangu mara ya kwanza ilikua haina matumaini yeyote ya kudumu.
    Kinachonifurahisha zaidi ni pale naposikia mzee JK amemtaka waziri wa miundo mbinu asimamie kedete uendeshwaji wa ATC ili ahakikishe haifilisiki wakati wadadisi wa mambo wanajua kua Waziri aliyepewa dhamana ya wizara hiyo ana hisa ndani ya Precission Air kwahiyo si rahisi kufanya jitihada za makusudu kuinusuru ATC kwani linaweza likatoa ushindani kwenye kampuni yenye maslahi yake!!!!!!
    Tusubiri tuone ubinafsi na uzalendo upi utaelemea upande mwingine.

    ReplyDelete
  3. ninachosema fikra thabiti ni hiki! Raisi wa sasa wa Tanzania ana akili mnoooo!!! mara nyengine naamuaga kunyamaza tu! maana mbinu kama hiyo aliitumia Mandela kumpa uwaziri wa ndani Buthelezi. buthelezi kama kiongozi wa wazulu, akawajibika kuwabembeleza wazulu hadi leo hii wametawalika! si umeliona hata hili la polisi? maana yake hapo kampa paka maziwa ayalinde!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...