hawa ni washiriki wa miss utalii dunia walipochuana bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. bwana michuzi mbona siku hizi nikibonyeza kwenye picha haipanuki vizuri inabakia ndogo hivyohivyo.

    hawa wendawazimu bado hawajaamka wakaona hii picha.

    ReplyDelete
  2. we ndio mwendawazimu. unataka picha ipanuke! we unataka kupanua kitu gani hapa,
    kwanini usijipanue mwenyewe ukajina vizuri mwenyewe, alaah. huna adabu wewe.

    ReplyDelete
  3. pole anony..

    kuna watu walianza mchezo mchafu na picha pana ndo mana imebidi nipunguze ukubwa (resolution) ambapo hata kuipost kwa ukubwa huu mdogo ndiyo rahisi kuanata bloguni. kwa anayetaka nzima nzima aniite kwa issamichuzi@gmail.com tutaongea...

    ReplyDelete
  4. haya ndiyo mambo,mzee michuzi blog yako ni free and fair ndiyo maana ni burudisho kwetu.watoto maridadi hawa.keep it up.

    ReplyDelete
  5. haya ndiyo mambo,mzee michuzi blog yako ni free and fair ndiyo maana ni burudisho kwetu.watoto maridadi hawa.naona hiyo siku ya hayo mashindano hapakukalika ubungo plaza.mashallah!

    ReplyDelete
  6. Mbona mimi nazipanua tu, zinapanuka kama kawaida

    ReplyDelete
  7. ebo! sasa mbona mwenzenu Jk akiwaita ikulu mnapiga kelele. hamtaki waje tena mwakani? na mwakani tujitahidi wote tukutane stejini! mark

    ReplyDelete
  8. Nasoma kwa faraja nyingi jinsi baadhi ya Watanzania wenzangu wanavyoonyesha jinsi wanavyoipenda nchi yetu. Wachache wamejitokeza katika kumuunga mkono Raisi wetu kwa hatua aliyoifanya katika kubadili baraza la mawazari. Ambalo halizungumziwi kwa wazi na ambalo lilitakiwa lifanywe na Mheshimiwa Raisi ni kutokuwaachisha Kazi mawaziri na wale wote wenye tuhuma za UFISADI. Nafikiri wote hao wanajulikana wazi na kama hawajulikani basi Vyombo husika kama vile usalama wa taifa na PCB vimekuwa havifani kazi yake na vimekuwa chanzo kikubwa cha UFISADI huo. Hizi habari tunazozisoma kwenye magazeti ina maana ni majungu tu na za uzushi? Jamani mweee; Mheshimiwa Raisi naomba usiwaogope hao Vigogo wafilisi wa nchi yetu. Usitoe pesa mfuku wa nyuma ukaiweka mfuko wa mbele au wa shati. Kubadili barazala mawaziri inaonekana kama ilikuwa ni mbinu ya kutunyamazisha Wananchi maana kama kweli walioondolewa au kujiuzulu wameshiriki katika njia moja au nyingine basi inatakiwa kama sio kubidi wachukuliwe hatua za kisheria kama ambavyo Mheshimiwa Raisi umesema kwenye hotuba yako kule Bungeni.

    Tunajiona kuwa eti bado tuna muda na inaoneka kuwa miaka 50 ya uhuru ni michache lakini kama ambao wametutangulia hawataki kuanza kuifagia njia basi kizazi kijacho kitapata taabu zaidi. Wakati ni huu na Miaka Mitano ya katiba ni miingi sana kufanya usafi. Kama kuiba inachukua siku chache basi hata kuchukua hatua za nidhamu isichukue miaka mitano au kumi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...